Watumiaji wengi wa facebook wamekuwa wakitamani kupata LIKES nyingi kwenye status na picha zao wanazo post facebook lakini wameshindwa .
Leo nitatoa hatua chache za kufuata ili nawe uweze kuwa miongoni mwa wanaopata LIKE nyingi facebook
STEP 1: Download Application Ya MG LIKES =>Download MG-LIKERS Hapa
STEP 2: Install hiyo app uliyo idownload kisha uifungue
STEP 3: Bonyeza login (with facebook
STEP 4: Ingiza human verification Security Captcha
STEP 5: Bonyeza (Get likes now click here to see your post)
STEP 6: Bonyeza (Feed Likes)
STEP 7: Chagua post unayotaka kuiongezea Likes halafu ubonyeze "Submit
Mwisho utaambiwa LIKES DONE
NB: Unaweza kuomba Likes kila baada ya dakika kumi na tano, na kiwango cha juu ni Likes 200 kwa kila unapoomba