Hawa ni mastaa 5 wa soka Ulaya ambao mbali ya kuingiza mkwanja mrefu kupitia kazi yao ya soka pia wanatembelea magari ya kifahari.
1)Cristiano Ronaldo
Cristiano anamiliki gari aina ya Buggati Veyron ambayo gharama yake ni dola 17,000,000
2)Ronaldinho
Ronaldinho anamiliki gari aina ya Buggati Veyron yenye thamani ya dola 1,800,000
3)Samuel Etoo
Eto’o ni mpenzi wa magari na amekua akimiliki magari mengi ya kifahari.. naye pia ni mmoja wa mastaa wanaomiliki gari aina yaBuggati Veyron
4)Zlatan Ibrahimovic
Zlatan anamiliki gari aina ya Porsche ambayo ina thamani ya €768,000
5)Neymar Dos Santos
Neymar Dos Santos ndiye mchezaji ghali zaidi Brazil na anamiliki gari aina ya Audi R8 GT lenye thamani ya paundi 246,000




